#MudaMrefu

2024-05-03

Jinsi ya kutunza simu kwa muda mrefu:
Hakikisha unatumia chaja sahihi na usizidishe kuchaji simu yako ili kuepuka kuiharibu betri. Epuka kuitumia simu yako wakati inachaji ili kuzuia overheat. Pia hakikisha unafuta cache mara kwa mara na kufanya updates za software.

Client Info

Server: https://mastodon.social
Version: 2025.07
Repository: https://github.com/cyevgeniy/lmst